Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH Dkt. Amos Nungu cheti cha Ushiriki wa Maonesho ya 14 ya Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) 2019, katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam