Mbunifu wa mtambo ya kufua umeme wa maji kutoka mkoani Rukwa,  ndugu George Ulaya  akibadilishana mawazo na mbunifu mwezake Ndugu Jailes Ngailo walipokutana kwenye banda la COSTECH wakati wa maonyesho ya 43 ya Sabasaba 2019 mkoani Dar es Salaam.