Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH ) Dkt.  Amos Nungu akizungumza na Waandishi wa habari nje ya ukumbi wa chuo kikuu  cha Sokoine wakati wa Washa ya wakuu wa Taasisi za Elimu ya Juu na  Taasisi za Utafiti wa Maendeleo