Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa VETA Dkt. Pancras Bujulu wakisaini mkataba wa ufadhili wa shilingi 85 milioni kutoka COSTECH. Tukio hili lilifanyika Jijini Dar es Salaam,  tarehe 3 Juni, 2019.