Baadhi ya Washiriki wa mafunzo kwa waandishi wa habari na watafiti kutoka kanda ya mashariki ili kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa kufikisha matokeo ya Sayansi,Teknolojia na Ubunifu yanayofanyika mjini Tanga kuanzia tarehe 10 hadi 11 Septemba, 2019 mkoani Tanga.