• Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe (mwenye tai ya draft) akikagua ujenzi wa miundombinu ya Chuo  cha Sayansi na Teknolojia cha Mbeya tarehe 26 Agosti, 2020