Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Joyce L. Ndalichako (Mb) ,anatarajiwa kuhitimisha Kilele cha Wiki ya Ubunifu Jumamosi ya tarehe 22 Mei 2021,  jijini Dar es salaam