COSTECH  mshindi wa kwanza kwa upande wa ubunifu, vifaa vya kieletroniki  na TEHAMA  katika  maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba)  yaliyofanyika Kilwa Road- Dar es salaam.