Wa pili kulia ni ni Mgeni rasmi, Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo, kulia ni Mkurugenzi wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Maulilio Kipanyula na pichani kushoto ni Mwenyekiti wa bodi ya sayansi na teknolojia Tanzania (COSTECH),Profesa Makenya Maboko pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Dkt Amos Nungu Katika maadhimisho hayo ya siku ya Sayansi, Teknolojia na ubunifu yaliyoandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech)