Sehemu ya Meza kuu ikifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na wadau kwenye Mjadala wa Kisayansi uliobeba kauli mbiu ya "Utafiti na Ubunifu ni Msingi wa Kukuza Uchumi wa Viwanda kwa Ajira na Biashara Endelevu"