Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH ) Dkt.  Amos Nungu akizungumza na Waandishi wa habari nje ya ukumbi wa Kawawa Dome katika maadhimisho ya Siku ya Sayansi, teknolojia na Ubunifu. (06/07/2020)