Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia inatoa pole kwa Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Familia, Ndugu na Taifa kwa ujumla kupitia msiba mzito wa mpendwa wetu Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mheshimiwa Benjamin William Mkapa.