Wafanyakazi wa COSTECH na wataalamu kutoka NIDA katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa kikao kazi cha kuboresha mfumo wa kusimamia Tafiti na bunifu nchini