• Mhe. Omary Juma Kipanga Naibu Waziri, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia akipata maelezo kutoka kwa mbunifu Isaya Yunge mara alipotembelea Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)