Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH Dkt. Amos Nungu akifungua kikao kazi cha kutengeneza mwongozo wa kitaifa wa namna bora ya kuandaa kigoda cha utafiti  tarehe 26 Januari, 2021 ADEM Bagamoyo.